Mama
Domitila died when she was a young woman in Congo in 1968
but was brought back to life after four days. In this testimony,
given in Oslo in 2005, she tells of what she saw and heard
in heaven. May God touch your heart as you listen to this
powerful testimony. Please let your friends see this video,
especially those who are not born-again.
Mama
Domitila alikufa alipokuwa mwanamke kijana huko Kongo katika
miaka ya '60. Alifufuliwa baada ya siku nne. Kwenye ushuhuda
huu, anasema aliyoona na kusikia mbinguni. Tunamwomba Mungu
aguse moyo wako unaposikiliza ushuhuda huu mkali. Tafadhali
waambie rafiki zako waione video hii, hasa wale ambao bado
hawajazaliwa mara ya pili.