Garindege

Jadili Sayansi na Teknologia. Nchi zetu zahitaji kusisitiza upanuzi katika taaluma hii ili zisiachwe nyuma kimaendeleo. Elimu, miradi na usambazaji.

Garindege

Postby sinmm » Thu Apr 26, 2012 6:15 pm

Guzo, gari (ndege) nzuri hii. Unaweza ukaitumia kutangaza injili mikoani.

Image
Image
Image

Image
Image
Image
Image
Image1
Image
Image
Image
Image
Image
cImage
Image

All images courtesy of Terrafugia Inc.
User avatar
sinmm
Site Admin
 
Posts: 595
Joined: Mon Aug 16, 2004 9:01 pm
Location: Oslo

Re: Garindege

Postby Guzo » Fri May 04, 2012 7:02 pm

Mark nimeipenda sana! ulijuaje? kwa kweli nimeburudika, nnayo maswali mawili je ni kweli?la pili lauzwa shilingi ngapi? najua kama yapo labda wanaoweza kununua ni matajiri! lakini mimi nia ninayo nia nnalo shamba langu karibu na bahari lina sifa mto unaingia hapo baharini matajiri wananitafuta siuzi lakini kwa habari ya hiyo ndege gari niko tayari kutoa shamba.
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Re: Garindege

Postby sinmm » Wed May 16, 2012 1:05 pm

Guzo wrote:Mark nimeipenda sana! ulijuaje? kwa kweli nimeburudika, nnayo maswali mawili je ni kweli?la pili lauzwa shilingi ngapi? najua kama yapo labda wanaoweza kununua ni matajiri! lakini mimi nia ninayo nia nnalo shamba langu karibu na bahari lina sifa mto unaingia hapo baharini matajiri wananitafuta siuzi lakini kwa habari ya hiyo ndege gari niko tayari kutoa shamba.

Guzo, ni kweli. Nimetazama mtandao wao hakuna bei badi. Nadhani bado wako kwenye development. Bila shaka wakiwa tayari kuuza, bei itakuwa kali.
User avatar
sinmm
Site Admin
 
Posts: 595
Joined: Mon Aug 16, 2004 9:01 pm
Location: Oslo

Re: Garindege

Postby martha.mapalala » Wed May 16, 2012 4:49 pm

Guzo wrote:Mark nimeipenda sana! ulijuaje? kwa kweli nimeburudika, nnayo maswali mawili je ni kweli?la pili lauzwa shilingi ngapi? najua kama yapo labda wanaoweza kununua ni matajiri! lakini mimi nia ninayo nia nnalo shamba langu karibu na bahari lina sifa mto unaingia hapo baharini matajiri wananitafuta siuzi lakini kwa habari ya hiyo ndege gari niko tayari kutoa shamba.

Hii garindege ni kiboko. ni nzuri sana. hata mimi nimeipenda sana.
Mimi ni mgeni katika nchi, Usinifiche maagizo yako. Zaburi 119:19
User avatar
martha.mapalala
Member
 
Posts: 94
Joined: Tue Sep 20, 2011 9:13 am
Location: Arusha, Tanzania

Re: Garindege

Postby sinmm » Fri Jun 08, 2012 3:03 pm

martha.mapalala wrote:
Guzo wrote:Mark nimeipenda sana! ulijuaje? kwa kweli nimeburudika, nnayo maswali mawili je ni kweli?la pili lauzwa shilingi ngapi? najua kama yapo labda wanaoweza kununua ni matajiri! lakini mimi nia ninayo nia nnalo shamba langu karibu na bahari lina sifa mto unaingia hapo baharini matajiri wananitafuta siuzi lakini kwa habari ya hiyo ndege gari niko tayari kutoa shamba.

Hii garindege ni kiboko. ni nzuri sana. hata mimi nimeipenda sana.

Safi sana. Mimi ningekuwa na uwezo wa kuinunua, na kama ingekuwa na capacity yakunifikisha hadi Kenya na Nasa/Mangu/Mwanza (na Tanga/Arusha/Maputo(Pretoria), etc, ningeinunua bila second thoughts :-).
User avatar
sinmm
Site Admin
 
Posts: 595
Joined: Mon Aug 16, 2004 9:01 pm
Location: Oslo

Re: Garindege

Postby Guzo » Fri Jun 22, 2012 3:16 pm

sinmm wrote:

nilipotembelea mtandao wao nimeona ya kuwa inaondokea kiwanja cha ndege,(kupaa)hivyo nadhani ni muhimu na kupitia kozi ya urubani na inabidi masomo ya jiografia uwe umefaulu labda tuseme na physisics la sivyo hupewi leseni! watakuhurumia usije ukapotea na kufariki dunia.
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Re: Garindege

Postby sinmm » Mon Jun 25, 2012 3:35 pm

Guzo wrote:watakuhurumia usije ukapotea na kufariki dunia.

Kwa mfano, nia ni kufika Arusha unajikuta umetua Nakuru, Kenya!
User avatar
sinmm
Site Admin
 
Posts: 595
Joined: Mon Aug 16, 2004 9:01 pm
Location: Oslo

Re: Garindege

Postby Guzo » Mon Jul 02, 2012 3:47 pm

sinmm wrote:
Guzo wrote:watakuhurumia usije ukapotea na kufariki dunia.

Kwa mfano, nia ni kufika Arusha unajikuta umetua Nakuru, Kenya!

au watamani urudi ulikotoka pia washindwa,!
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Re: Garindege

Postby Guzo » Tue Apr 16, 2013 1:22 pm

Garindege nimetafakari sana hiyo ni ndege na hadhi yake ni ya ndege na siyo kitu cha mchezo!
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Return to Sayansi na Teknolojia

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 1 guest

cron