sinmm wrote:Wengi wetu tulichapwa sana nyumbani na shuleni tulipokuwa wadogo. Je, ni lazima mtoto achapwe ili kumtia adabu au kuna njia nyingine ambazo mzazi anaweza kutumia kumlea ama kuwalea watoto wake bila kutumia kiboko?
si lazima mtoto achapwe. mtoto aweza kuonywa na kama ni msikivu atasikia na kujirekebisha. kama ni mtoto aliyepitiliza kwa utukutu, kiboko na asinyimwe kwani hata Bwana Yesu alisema juu ya kuwapa watoto viboko ili wasipotee. kiboko si sumu na pia kiboko si dawa.