JE UZAZI WA MPANGO NI SAWA KWA SISI TUNAOAMINI

Jadili chochote kile unachopenda. Hili ni baraza la mazungumzo. Kumbuka, tunahimiza lugha nadhifu na heshima kwa wote licha ya kupingana kimawazo.

JE UZAZI WA MPANGO NI SAWA KWA SISI TUNAOAMINI

Postby ellymsuya » Tue Feb 13, 2007 12:53 pm

HAKIKA MIMI NAAMINI MUNGU NI MWAMINIFU KATUPA MWAKA MWINGINE ILI LENGO LAKE LITIMIE HAPA DUNIANI JUU YA KILA MMOJA MAANA ALITUJUWA KABLA YAKUWEKWA MISINGI YA DUNIA HEBU TUPENANE MAWAZO MANA AMBO MENGI KATIKA DUNIAA HII YENYE SHIDA NA TABU TUSADIANE JE NI SAWA MAMBO YA UZAZI WA MAJIRA WAPENDA KUTUMIAA HIZO NJIA TOFAUTITOFAUTI KAMA SIO SAWA JE MNASHAURIJE :idea:
IN GOD WE TRUST
User avatar
ellymsuya
New member
 
Posts: 34
Joined: Wed Sep 08, 2004 7:42 am
Location: DODOMA, TANZANIA

Re: JE UZAZI WA MPANGO NI SAWA KWA SISI TUNAOAMINI

Postby Guzo » Tue Feb 13, 2007 6:02 pm

ellymsuya wrote:HAKIKA MIMI NAAMINI MUNGU NI MWAMINIFU KATUPA MWAKA MWINGINE ILI LENGO LAKE LITIMIE HAPA DUNIANI JUU YA KILA MMOJA MAANA ALITUJUWA KABLA YAKUWEKWA MISINGI YA DUNIA HEBU TUPENANE MAWAZO MANA AMBO MENGI KATIKA DUNIAA HII YENYE SHIDA NA TABU TUSADIANE JE NI SAWA MAMBO YA UZAZI WA MAJIRA WAPENDA KUTUMIAA HIZO NJIA TOFAUTITOFAUTI KAMA SIO SAWA JE MNASHAURIJE :idea:

No ! hiyo ni roho ya mauti!! nakutafutia rafiki yangu katika kitabu cha Ezekiel andiko linasema usisimame katika kiti cha hukumu cha Mungu!
Hivyo utaona uzazi wa mpango ni kuuwa watoto!
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Re: JE UZAZI WA MPANGO NI SAWA KWA SISI TUNAOAMINI

Postby Guzo » Thu Jul 18, 2013 9:01 am

Juu ya uzazi wa mpango! hujaendelea kujadili? inategemea sijasema ni dhambi au ni kuuwa watoto,kwa mtazamo fulani! inategemea hata hivyo uzazi wa mpango ni sera ya dunia nzima, ni kama vile bima, ni sera huwezi ukaikataa kwa hiyo ninachoomba ni majadiliano, na kweli huenda tukaelemishana!
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Re: JE UZAZI WA MPANGO NI SAWA KWA SISI TUNAOAMINI

Postby sinmm » Sat Jul 27, 2013 9:59 pm

Kupanga uzazi sio dhambi ila shida inatokea wasichana wanaposhiriki katika mpangilio huu ilhali hawajaolewa na kushiriki katika tendo la ndoa. Hiyo ni dhambi. Kuteketeza uja-uzito kwa kuchagua ikiwa usalama wa mja mzito haiko hatarini ni uuaji, ni haramu, ni dhambi. Hayo ni maoni yangu.
User avatar
sinmm
Site Admin
 
Posts: 595
Joined: Mon Aug 16, 2004 9:01 pm
Location: Oslo

Re: JE UZAZI WA MPANGO NI SAWA KWA SISI TUNAOAMINI

Postby Guzo » Fri Sep 13, 2013 7:53 pm

sinmm wrote:Kupanga uzazi sio dhambi ila shida inatokea wasichana wanaposhiriki katika mpangilio huu ilhali hawajaolewa na kushiriki katika tendo la ndoa. Hiyo ni dhambi. Kuteketeza uja-uzito kwa kuchagua ikiwa usalama wa mja mzito haiko hatarini ni uuaji, ni haramu, ni dhambi. Hayo ni maoni yangu.

ila shida inatokea wasichana wanaposhiriki katika mpangilio huu ilhali hawajaolewa na kushiriki katika tendo la ndoa. hapo umesema sahihi.
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania


Return to Baraza Wazi

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 1 guest

cron