GOSPEL MUZIC AWARD

Jadili muziki wa Injili, nyimbo za injili na wasanii wa muziki wa injili, habari za muziki wa injili na kadhalika.

Re: GOSPEL MUZIC AWARD

Postby Guzo » Thu Jul 04, 2013 3:28 pm

Bwana asifiwe sana rafiki wa kweli Mark., sina mengi ya kusema ila nasema ubarikiwe! iko siku naamini Mungu atanyoosha njia na kusawazisha!
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Re: GOSPEL MUZIC AWARD

Postby sinmm » Sun Jul 14, 2013 3:10 pm

Guzo wrote:Bwana asifiwe sana rafiki wa kweli Mark., sina mengi ya kusema ila nasema ubarikiwe! iko siku naamini Mungu atanyoosha njia na kusawazisha!


Usiwe na shaka rafiki. Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nawe na familia yako.
User avatar
sinmm
Site Admin
 
Posts: 595
Joined: Mon Aug 16, 2004 9:01 pm
Location: Oslo

Re: GOSPEL MUZIC AWARD

Postby Guzo » Thu Jul 18, 2013 7:10 am

Mungu akubariki sana! naomba ukija Kenya tukutane nadhani Tanga na Nairobi sio mbali! nisalimie watoto kuna maono yako mazuri ya ugunduzi wa kitu fulani nakuambia kwenye e mail.
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Re: GOSPEL MUZIC AWARD

Postby sinmm » Sat Jul 27, 2013 6:09 pm

Nitakuwa Kenya mwezi ujao ila kwa muda mfupi sana. Hata Mombasa sitafika kwa sababu hiyo. Mungu akubariki sana. Nisalimie dada Eliza na watoto.
User avatar
sinmm
Site Admin
 
Posts: 595
Joined: Mon Aug 16, 2004 9:01 pm
Location: Oslo

Re: GOSPEL MUZIC AWARD

Postby Guzo » Mon Jul 29, 2013 4:42 pm

asante.
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Re: GOSPEL MUZIC AWARD

Postby Guzo » Tue Jul 21, 2015 5:46 pm

nafurahi kuona maneno ya mungu ni matamu kila siju itwapo leo ninazisoma topic za siku nyingi lakini hadi leo zinagusa! ni kweli siku hizi kumeibyka wimbi la watu wa mungu kugombea nafasi za ubunge
Waefeso 2:8
User avatar
Guzo
Frequent Member
 
Posts: 1206
Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
Location: Tanga, Tanzania

Re: GOSPEL MUZIC AWARD

Postby sinmm » Wed Oct 21, 2015 12:07 pm

Nimeona wachungaji (au mchungaji mmoja) aliyehusishwa na mwimbaji mmoja wa gospel akijihusisha sana na kampeni za urais Tanzania. Sijui wengine wanaonaje.
User avatar
sinmm
Site Admin
 
Posts: 595
Joined: Mon Aug 16, 2004 9:01 pm
Location: Oslo

Previous

Return to Muziki wa Injili

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 1 guest

cron