Jadili mambo yanayotuhusu sisi wakristo, kwa mfano, jinsi ya kuishi baada ya kumpokea Bwana Yesu kama mwokozi, na kadhalika.
by Guzo » Fri May 04, 2012 7:29 pm
sinmm wrote:Lydia wrote:Kaka Mark asante, nilikuwa sijui hilo la wareno, mimi naongea kireno nilikuwa nashangaa maneno ya kireno kama, asukari yaani sukari, mashamba, meza, na mengine mengi tofauti yake ni jinsi ya kuandika tu.
Matamshi, kweli. Nina rafiki mbukusu anaitwa Tom. Akiulizwa jina lake anasema, "My name is Dom". Yaani kwenye neno kama kuna T yeye ataifanya D; kama ni D, itabadilika kuwa. T. Kila kabila lina mzigo wake. Wameru wa Kenya huweka 'm' kabla ya kila neno linanoanza na 'b', na hudondosha 'm' kwenye kila neno linaloanza na 'mb'. Kwao 'ng' = 'g' na 'g' = 'ng'
Badala ya "Tuliookoka tumebarikiwa tutafika mbinguni" watasema, "Tuliookoka tumembarikiwa tutafika biguni"
Rafiki yangu mmoja hapa (Mnorwegian) alikwenda marekani na kukutana na couple moja kutoka Spain au Ureno. Katika kujitambulisha mwanamme akasema "My name is Masimmo and I am dirty. This is my wife and she is dirty too".
Alikuwa na maana gani?
ngoja nisugue kichwa!
Last edited by
Guzo on Fri May 04, 2012 7:38 pm, edited 1 time in total.
Waefeso 2:8
-

Guzo
- Frequent Member
-
- Posts: 1206
- Joined: Tue Sep 07, 2004 8:15 pm
- Location: Tanga, Tanzania
Return to Maisha ya Kikristo
Who is online
Users browsing this forum: No registered users and 1 guest